Published On: Tue, May 15th, 2018

Ulaji wa chakula kingi chenye mafuta mengi kwa wakati mmoja unaweza kuathiri umetaboli

Share This
Tags

Ulaji wa chakula kingi chenye mafuta mengi kwa wakati mmoja unaweza kuathiri umetaboli

Watafiti wa Ujerumani wamegundua kuwa ulaji wa chakula chenye mafuta mengi kwa wakati mmoja ikiwemo hamburger, chips na pizza unaweza kuathiri umetaboli wa mwili, na kusababisha ugonjwa wa maini yenye mafuta na ugonjwa wa kisukari.

Kituo cha utafiti cha ugonjwa wa kisukari cha Ujerumani kimesema, wamewashirikisha wanaume wembamba wenye afya nzuri kwenye utafiti, na kuwapatia kikombe chenye mafuta ya zaituni au kikombe cha maji bila mpangilio. Mafuta ndani ya kinywaji kile ni sawa na hamburger mbili za nguruwe pamoja na chipsi au pizza mbili.

Watafiti hao walitumia njia ya MRI na kugundua kuwa, ulaji wa mafuta mengi kwa wakati mmoja unaweza kupunguza mchango wa insulin, na kusababisha ongezeko la kuzuia insulin na kiwango cha mafuta kwenye maini, huku ukileta athari kwrnyr umetaboli wa maini ambayo inafanana na athari zinazotokana na ugonjwa wa kisukari wa aina II au maradhi ya ini.

Watafiti wamesema, kinachoshangaza ni kwamba kula mafuta ya zaituni kunaweza kuathiri haraka na moja kwa moja maini ya watu wenye afya nzuri, ambayo mafuta hayo yamesababisha kuzuia insulin.

Lakini watafiti wamesema, watu wenye afya nzuri wanaweza kurekebisha athari zinazotokana na chakula chenye mafuta mengi, lakini ulaji wa chakula cha aina hiyo wa muda mrefu utaleta madhara kwa afya.

Posted By

-

Displaying 5 Comments
Have Your Say
 1. Jgrpll says:

  academic writing terms – essay writing assistance essay on the help

 2. Qssgqt says:

  pay to do my assignment – help with my assignment essay help sydney

 3. Ctxyoa says:

  practice essay writing online – help with thesis essay services

 4. Jmcpwl says:

  do my term paper – academic writing online your essay writer

 5. Ddllas says:

  help with writing a research paper – my father essay writing write my term papers

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>