Published On: Tue, May 8th, 2018
Business | Post by jerome

Shirika la ndege la Ethiopia lanunua ndege 10 mpya

Share This
Tags

Shirika la ndege la Ethiopia, imetia saini mkataba wa ununuzi wa amesaini mkataba wa ununuzi ndege 10 mpya Q400.

Thamani ya manunuzi ni dola milioni 332.

Hivi sasa, Mashirika ya ndege ya Ethiopia zina zaidi ya ndege 100, ambazo zinasafiri maeneo mbalimbali duniani.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>