
Kimbunga chaua watu 47 nchini India, joto laongezeka
Watu wasiopungua 47 wamepoteza maisha kutokana na kimbunga kikali kilichoshuhudiwa kaskazini mwa India. Idara ya Kupambana na Majanga nchini humo imesema kimbunga hicho kimesababisha maafa hayo katika majimbo ya More...

WHO: Ebola yaendelea kuathiri raia wa DRC
Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema linasubiri idhini kutoka kwa serikali ya DRC, ili kutuma dawa ambayo haijaidhinishwa kusaidia kupambana na ugonjwa hatari wa Ebola Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo. Watu More...

Wafugaji wilaya ya sikonge walalamikia ukosefu wa malisho ya mifugo yao
WAFUGAJI Wilayani SikongeMkoani Tabora,wanalalamikia malisho kwa ajili ya mifugo yao,wakisema wanahangaika kutokana na kutokutengewa maeneo, jambo ambalo linaendelea kuleta migogoro kati yao na wakulima. Wafugaji More...

RC Rukwa kukomesha Kipindupindu
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo amesema atalazimika kuwatumia polisi kusimamia zoezi la usafi na ujenzi wa vyoo salama katika Kijiji cha Namasinzi, kata ya Kapenta, bonde la ziwa Rukwa Wilayani Sumbawanga More...

Abdel Fattah al-Sisi kuapishwa Juni 2 kama rais wa Misri
Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi ataapishwa tarehe mbili mwezi ujao kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili. Hii itakuja baada ya kushinda Uchaguzi wa urais uliofanyika mwezi Machi kwa kupata ushindi wa asilimia More...

China Southern Airlines kuzindua safari mpya Guangzhou-Nairobi
Shirika la ndege la China Southern Airlines limesema litaanzisha safari mpya za moja kwa moja kati ya mji wa Nairobi na Guangzhou, ikiwa ni sehemu ya hatua za kampuni hiyo kuimarisha ushirikiano wa kibiashara kati More...

Wadau wa pamba watoa maazimio
Wadau wa zao la pamba wametoa maazimio 10 ambayo wanasema yakitekelezwa yatasaidia kuinua sekta ya kutengeneza nguo nchini Tanzania. Akisoma maazimio hayo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji More...

Ratiba kamili ya mashindano ya klabu za soka Afrika Mashariki
Vigogo wa soka Tanzania, Simba na Yanga huenda zikakutana nchini Kenya katika nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup itakayochezwa Juni 7 kwenye uwanja wa Afraha mjini Nakuru. Ratiba ya mashindano hayo More...

Rais wa Catalonia aunda serikali bila mawaziri wa Puigdemont
Rais mpya wa jimbo la Catalonia ameiteua serikali bila ya kuwajumuisha mawaziri wa zamani waliofungwa jela na wengine walioko uhamishoni ambao waliziunga mkono harakati za kujitenga, na hivyo kusafisha njia ya More...

French Open: Serena Williams asema vazi lilimfanya kujihisi kama shujaa wa Wakanda
Serena Williams amesema alijihisi kama “shujaa” alipovalia vazi lake jeusi la kubana mwili wakati wa mchezo wake mkubwa wa kwanza wa ushindani alipocheza katika French Open. Williams alipata ushindi More...