Published On: Wed, Apr 11th, 2018
Sports | Post by jerome

UEFA Champions League: Barcelona, Manchester City kwishnei

Share This
Tags

Michezo ya marudiano ya robo fainali ya UEFA Champions League msimu wa 2017/2018 imeendelea tena usiku wa kuamkia leo kwa michezo miwili kuchezwa, AS Roma wakiwa nyumbani wameushangaza ulimwengu baada ya kuitoa FC Barcelona, mchezo wa kwanza wa Roma dhidi ya Barcelona uliyochezwa Nou Camp ulimalizika kwa Barcelona kupata ushindi magoli 4-1, hivyo Roma kupata ushindi wa magoli 3-0 kumewafanya wafuzu hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa jumla ya magoli 4-4 ila goli la ugenini ndio linawabeba.

Liverpool wakaibuka kidedea cha mabao 2-1 dhidi ya Man City na sasa Jurgen Klopp anakuwa kocha wa kwanza kuwahi kumfunga Pep Gurdiola michezo 3 katika msimu mmoja wa ligi na hiki kikiwa kipigo cha 3 kwa City mfululizo.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>