Published On: Wed, Apr 4th, 2018
Sports | Post by jerome

Tanzania kuandaa michuano ya kanda ya tano Afrika

Share This
Tags

Tanzania itakuwa mwenyeji wa michuano ya mpira wa kikapu ya kanda ya tano ya Afrika kwa wachezaji walio na umri chini ya miaka 18 itakayofanyika mwezi Juni mwaka huu.

Kanda ya tano hujumuisha nchi 12 nazo ni mwenyeji Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudani Kusini, Eritrea, Djibout, Ethiopia na Misri.

Akuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, rais wa chama cha mpira wa kikapu Tanzania, TBF, Fares Magesa amesema michuano hiyo itachezwa jijini Dar na jumla ya timu 24 zitashiriki, 12 za wanaume na 12 za wanawake.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>