Published On: Wed, Apr 4th, 2018
Business | Post by jerome

Rwanda yaathirika na kujitoa AGOA

Share This
Tags

Rwanda imesisitiza kwamba haitaathirika sana kwa kuondolewa kwenye manufaa ya AGOA .

Wizara ya biashara na viwanda nchini humo imesema Marekani imechukua uamuzi wa kuwaondoa kwenye manufaa ya kibiashara ya AGOA kutokana na kuongeza ushuru wa mitumba kuingia nchini humo.

Marekani nayo iliamua kuondoa msamaha wa ushuru kwa bidhaa za Rwanda chini ya sheria ama mkataba wan chi zinazonednelea agoa.

Rwanda ilitumia jukwaa la Agoa kuimarisha biashara zake pamoja na kupata maendeleo ya kichumi kimataifa.

Sio Rwanda pekee,Kenya,Tanzania na Uganda aidha zimeongeza ushuru kwa mitumba kuingia katika nchi zao kwenye juhudi za kuimarisha sekta ya viwanda .

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>