Published On: Wed, Apr 4th, 2018
Business | Post by jerome

Makampuni zaidi ya 1,600 kuhudhuria maonyesho ya Kimataifa ya Shanghai

Share This
Tags

Makampuni zaidi ya 1,600 kutoka nchi zaidi ya 120 na mikoa wameomba kuhudhuria maonyesho ya Kimataifa ya Shanghai mwezi Novemba baadaye mwaka huu.

Zaidi ya watu 600 wamesaini mikataba ya kushiriki maonyesho hayo, ambayo yanatarajiwa kuchukua mita za mraba zaidi ya 120,000.

Makampuni makubwa duniani yanapanga kuleta bidhaa zao mpya kwa maonyesho hayo, kutokana na uwezo mkubwa wa soko na kwamba uchumi wa China ni wa pili kwa ukubwa duniani.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>