Published On: Mon, Apr 16th, 2018
World | Post by jerome

JAMES COMEY: DONALD TRUMP HANA MAADILI YA UONGOZI KUSHIKILIA WADHIFA WA RAIS

Share This
Tags

Aliyekuwa mkuu wa shirika la upelelezi FBI nchini Marekani JAMES COMEY amesema DONALD TRUMP hana maadili ya uongozi kushikilia wadhifa wa rais na ambaye anawachukulia wanawake kama kitoweo cha nyama.

COMEY alikuwa akihojiwa kwa mara ya kwanza kwenye televisheni tangu afutwe kazi na rais Trump mwaka jana.

Saa chache kabla ya mahojiano hayo kupelekwa hewani, rais TRUMP alimshambulia COMEY kwamba anasema uongo mwingi.

COMEY amesema haamini madai yaliopo kumhusu kwamba ana matatizo ya kiakili au katika hatua za kwanza ya kuugua ugonjwa wa kusahau.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>