
MUHAMMADU BUHARI WA NIGERIA KULAKIWA NA TRUMP
Rais wa Nigeria MUHAMMADU BUHARI atakuwa kiongozi wa kwanza wa taifa la kutoka bara la Afrika kulakiwa na Rais wa Marekani DONALD TRUMP katika White House, atakapokutana na kiongozi huo kwa mashauriano rasmi mjini More...

CHANGAMOTO YA MAJI KUJAA WAKATI WA MVUA BADO KITENDAWILI SHULENI MILENGWELENGWE
Shule ya Sekondari ya Milengwelengwe iliyopo kata ya Mngazi halmashauri ya wilaya ya Morogoro inakabiliwa na changamoto ya kujaa maji wakati Mvua inaponyesha hali inayopelekea kufungwa More...

WAKULIMA WA KOROSHO LINDI WALIA NA SERIKALI
Baadhi ya wakulima wa korosho katika wilaya ya liwale Mkoa wa Lindi wameiomba serikali kuhakikisha inakabiliana na ugonjwa wa mnyauko wa mikorosho ambao katika wilaya hiyo umegundulika katika kijiji cha Legezamwendo. Hayo More...

KAMPUNI YA SOLTIK MKOANI KIGOMA YATAKIWA KUFUNGASHA VIRAGO
Naibu waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano mhandisi ATASHASTA NDITIYE, ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo mkoani Kigoma, ameipiga marufuku kampuni ya usambazaji umeme wa nguvu za jua More...

VIJIJI VYOTE NCHINI KUFIKISHIWA UMEME KUFIKIA 2021
Katika utekelezaji wa azma ya serikali ya kufikisha nishati ya umeme kwa vijiji vyote nchini ifikapo mwaka 2021, maeneo ambayo hayajafikiwa na umeme ndani ya jimbo la Mikumi yatafikiwa kupitia mradi wa REA awamu More...

Kim Jong un akubali kuangamiza silaha za kinyuklia Korea
Vyombo vya habari vya Korea kazkazini vimekuwa vikisifia mkutano wa jana uliokuwa wa kihistoria kwa namna nyingi -ambapo miongoni mwa matukio mengineyo kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un walikubaliana kufanya kazi More...

Makamu wa rais azindua siku ya mwanamke wa mfano Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Wanawake walikuwa na mchango mkubwa katika harakati za Uhuru wan chi hii. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Siku More...

Buriani Abbas Kandoro
Rais DK. JOHN MAGUFULI ametuma salamu zake za rambirambi kutokana na kifo cha aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ABBAS KANDORO. Katika taarifa hiyo Rais MAGUFULI amesema amepokea kwa masikitiko taarifa More...

Merkel: Mkataba wa nyuklia hautoshi kuzuia matarajio ya Iran
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, amemueleza mwenyeji wake rais Donald Trump wa Marekani, kwamba mkataba wa nyuklia wa kimataifa uliopo kwa sasa ambao ulifikiwa kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani, More...

Katumbi asema hamwogopi Kabila
Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi ambaye amekuwa uhamishoni kwa miaka miwili, amesema hamuogopi Rais Joseph Kabila. Katumbi ameyasema hayo akiwa nchini Rwanda na kuongeza More...