
WATU 68 WAFARIKI VENEZUELA WALIPOKUWA WAKIJARIBU KUTOROKA JELA
Watu 68 wamefariki dunia nchini Venezuela walipokuwa wakijaribu kutoroka jela moja baada ya moto kuzuka kwenye vyumba ambavyo walikuwa wakizuiliwa na Polisi. Hilo likiwa tukio baya zaidi kuripotiwa kwenye jela More...

SERIKALI IMESEMA DENI LA TAIFA LIMEENDELEA KUWA STAHIMILIVU
Serikali imesema kuwa Deni la Taifa limeendela kuwa stahimilivu hali inayoonyesha kuendelea kuimarika kwa uchumi wa Taifa letu. Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa More...

MSHINDI WA TUZO YA NOBEL MALALA AREJEA PAKISTAN KWA MARA YA KWANZA
Mshindi wa tuzo ya Nobel Malala Yousafzai amerejea nchini Pakistan kwa mara ya kwanza tangu apigwe risasi na kundi la Taliban miaka sita iliyopita kwa kuhamasisha Wasichana kusoma Malala mwenye umri wa miaka 20 More...

MWANAHARAKATI WA KENYA WAKILI MIGUNA MIGUNA AJIKUTA KALAZWA DUBAI
Mwanasiasa wa upinzani Kenya aliyeidhinisha kiapo cha kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa ‘Rais wa Wananchi’ Januari Miguna Miguna ametimuliwa tena kutoka nchini humo. Mwanasiasa huyo ametimuliwa More...

UPASUAJI MKUBWA WA KIBINGWA WA KUBADILISHA NYONGA WAFANYIKA
Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili kwa kushirikiana na daktari bingwa wa Mifupa kutoka Hospitali ya Prashanth Chenai ya nchini India leo wamefanya upasuaji mkubwa na mgumu wa kibingwa wa kubadilisha More...

UJENZI WA KITUO KIPYA CHA MABASI BUKOBA WAGUBIKWA RUSHWA
Ujenzi wa Kituo kipya cha Mabasi katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera umeingiwa na dosari baada ya Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Deodatusi Kinawilo kutoridhishwa na hatua za ujenzi zilizofikiwa na kuagiza taasisi More...

WAFANYAKAZI WA UMMA NA TAASISI BINAFSI WATAKIWA KUSHIRIKI MICHEZO
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka Viongozi wa Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi kuwaruhusu wafanyakazi kushiriki michezo katika maeneo yao ya kazi lakini pia wawaruhusu wafanyakazi kushiriki Michezo More...

WANANCHI WATAKIWA KUACHA KUHARIBU ALAMA ZA MIPAKA YA NCHI
Katika kuendelea kulinda na kuhifadhi mipaka yetu ya Kimataifa, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi imewaasa wananchi wanaoishi pembezoni mwa mipaka kuacha kuharibu alama zilizowekwa More...

RAIS MAGUFULI APOKEA RIPOTI ZA (CAG) KWA MWAKA 2016/17
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Machi, 2018 amepokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha wa 2016/17 Tukio la kukabidhiwa kwa ripoti hiyo limefanyika Ikulu More...

JE KUNA HAJA YA KUPUNGUZA IDADI YA WACHEZAJI WA KIGENI KWENYE LIGI KUU TANZANIA BARA?
Na Heri Mijinga Kwa miaka kadhaa idadi ya wachezaji wa kigeni katika ligi kuu Tanzania Bara (VPL) imekuwa ikileta gumzo miongoni mwa wadau wa soka na mamlaka mbalimbali zinazohusika na mchezo wa soka nchini Tanzania. More...