Date archive forFebruary, 2018
By jerome On Wednesday, February 28th, 2018
0 Comments

Korea Kaskazini inapeleka Syria silaha za kemikali

Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wamesema Korea Kaskazini ilipeleka nchini Syria vifaa vinavyoweza kutumika kutengeneza makombora na silaha za kemikali. Kwa mujibu wa wataalamu hao, Korea Kaskazini imepeleka pia wataalamu More...

By jerome On Wednesday, February 28th, 2018
0 Comments

Rais Kenyatta aagiza kuanzishwa kwa programu za mafunzo ya mchezo wa gofu kwa shule za umma

Rais Uhuru Kenyatta ameagiza kuanzishwa kwa mchezo wa gofu katika shule za umma kote nchini Kenya, kwa lengo la kuukuza na kufikia viwango vya kimataifa. Uhuru Kenyatta ameyasema hayo wakati anakabidhi bendera More...

By jerome On Wednesday, February 28th, 2018
0 Comments

Tandahimba dhibitini mimba kwa watoto wa shule-Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Tandahimba kuhakikisha inadhibiti ongezeko la mimba kwa watoto wa shule. Ameyasema hayo wakati akizungumza na watumishi na madiwani wa More...

By jerome On Wednesday, February 28th, 2018
0 Comments

Viongozi Mtwara watakiwa kufuatilia watu wanaotaka kuharibu masoko ya korosho

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa mkoa wa Mtwara kupambana na makundi ya watu yanayotaka kuharibu masoko ya korosho. Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa mnunuzi aliyekataa kununua korosho kutokana More...

By jerome On Wednesday, February 28th, 2018
0 Comments

Wataalam wa afya moja kuandaa mpango mkakati wa ulinzi na usalama wa vimelea hatarishi

Wataalam wa Afya moja nchini ambao ni wataalam wa sekta ya Afya ya binadamu, Afya ya wanyamapori na mifugo pamoja na mazingira wameanza kuandaa Mpango Mkakati wa ulinzi na usalama wa  vimelea hatarishi utakaosaidia More...

By jerome On Wednesday, February 28th, 2018
0 Comments

Balozi Seif Ali Iddi -Viongozi wanapaswa kutambua kuwa Sheria ni Msumeno

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika mapambano yake dhidi ya vitendo vya udhalilishaji wa Kijinsia vilivyokithiri katika maeneo mbali mbali Nchini, imesema kamwe haitamvumilia wala kumuonea  aibu Mtu yeyote More...

By jerome On Wednesday, February 28th, 2018
0 Comments

Msiwafungie watoto wenye mahitaji maalum-Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi na walezi wa watoto wenye mahitaji maalumu kutowafungia ndani na badala yake wawapeleke shule.Amesema ulemavu si kigezo cha kuwakosesha watoto hao kupata elimu na kufanya More...

By jerome On Wednesday, February 28th, 2018
0 Comments

Siku ya 100: Azory Gwanda yuko wapi?

Ni siku 100 tangu kutoweka kwa Mwandishi Azory Gwanda wa gazeti la Mwananchi nchini Tanzania aliyetoweka mwezi wa November mwaka jana. Francis Nanai Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications, MCL, amesema More...

By jerome On Wednesday, February 28th, 2018
0 Comments

Wanafunzi 200 wasomea kwenye chumba kimoja cha darasa

Utafiti wa wataalam wa masuala ya elimu wanaizungumzia dhana ya elimu bora kwa mwanafunzi kuwa ni lazima mambo mengi yazingatiwe, lakini machache kati ya hayo ni utayari wa mwanafunzi, usalama wa mazingira ya kujifunzia, More...

By jerome On Tuesday, February 27th, 2018
0 Comments

Amchinja mwanae na kuficha mwili uvunguni

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Hadija Msangi (30 ) mkazi wa Mwanzini  kwa tuhuma za kumchinja mtoto wake mwenye umri wa miezi tisa na kitu chenye ncha More...