Date archive forJanuary, 2018
By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Mwanamke Japan aishtaki serikali kwa kumfunga kizazi kwa lazima

Mwanamke mmoja nchini Japan, ambaye alilazimishwa kufunga kizazi miaka ya 1970 akiwa na umri wa miaka 15, ameishitaki serikali katika kesi ya kwanza ya aina yake. Mwanamke huyo ambaye hakutajwa jina lake ni mmoja More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Idadi ya wakimbizi kutoka DRC yaongezeka Tanzania.

Idadi ya waomba hifadhi kutoka nchini Jamhuri ya kodemokrasia Congo DRC inatajwa kuongezeka  kutokana na wimbi kubwa linaloendelea kuingia hapa nchini Mkoani Kigoma ambapo wanapokelewa katika eneo la Kibirizi More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Madiwani wafungiwa kushiriki vikao vya baraza kwa kukaidi sheria.

Madiwani watatu wa chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA wametolewa Nje ya kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji wa Njombe na Kufungiwa kushiriki vikao Vitatu vya Baraza hilo kwa utovu wa nidhamu More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Waziri wa mifugo na uvuvi aagiza viwanda vya samaki kufunguliwa

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameagiza viwanda vinne vya kuchakata minofu ya samaki vilivyofungwa vya Tan Perch Limited, Supreme Perch Limited, Mara Fish Packers Limited na Prime Catch Limited kufunguliwa More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Soka, Matokeo ya Ligi Kuu ya Uingereza: Swansea yaondoka kwenye hatari baada ya kuifunga Arsenal

Katika matokeo ya soka nchini uingereza, klabu ya Swansea City imeendelea kufufua matumaini ya kusalia ligi kuu baada ya ushindi wa jana dhidi ya Arsenal wa magoli matatu kwa moja ulioifanya timu hiyo sasa ipande More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Hali ya wasiwasi imetokea nchini Kenya baada ya wapinzani kumwapisha “rais” wao

Kenya imeendelea kuwa na utulivu baada ya muungano wa upinzani NASA kumwapisha kiongozi wake Bw. Raila Odinga kuwa “rais wa watu” kwenye sherehe fupi iliyohudhuriwa na maelfu ya watu katika uwanja More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Arsenal walazwa na Swansea City EPL

Swansea City waliondoka kwenye eneo la hatari ya kushushwa daraja Ligi ya Premia kwa mara ya kwanza tangu Novemba baada ya kuwalaza Arsenal. Kosa la ajabu kutoka kwa Petr Cech lilimpa nafasi Jordan Ayew kufunga More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Rais Trump atangaza ‘enzi mpya ‘ kwa Marekani katika hotuba kwa taifa

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza “enzi mpya kwa Marekani” alipokuwa akitoa hotuba ya kitaifa kuhusu hali ya nchi Jumanne usiku. Katika hotuba hiyo iliyotolewa kwa Bunge la Congress, aliwaambia More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Wafanyabiashara ndogondogo wilayani kibaha walia na ukosefu wa soko.

Wafanyabiashara wadogo katika  kata ya sofu iliyopo halmashauri ya mji Kibaha Mkoa wa Pwani, kwa sasa wanakabiliwa na ukosefu wa  kutokuwa na soko maalum hali ambayo  inawalazimu kuamua kupanga bidhaa zao kando More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

UNHCR yashtushwa na wimbi la Wakimbizi DRC

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR limesema limeshtushwa na mapigano yanayoendelea Mashariki mwa Demokrasia ya Congo, hivyo kusababisha wimbi kubwa la wakimbizi kutoka nchini humo wanaoingia More...