Date archive forJanuary, 2018
By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Profesa Kamuzora-Serikali imejipanga kuweka miundombinu rafiki ili kukabili maafa yanayotokea nchini

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera na Uratibu Profesa Faustin Kamuzora ameongoa kikao cha Siku moja cha Baraza la Usimamizi wa Maafa nchini kinacholenga kujadili masuala ya Menejimenti ya Maafa. Akifungua More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli  akipokea passpoti yake mpya ya kielektronikia  kutoka kwa Waziri wa mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba makao makuu ya Idara ya Uhamiaji Kurasini More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Rais Magufuli azindua mfumo wa uhamiaji mtandao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amezindua mfumo wa uhamiaji mtandao (e-Immigration) ambao utasaidia kuimarisha ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, kudhibiti ukusanyaji wa maduhuli More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Bomu’ larushwa kwa naibu kiongozi wa upinzani Kenya Kalonzo Musyoka

Maafisa wa kutegua mabomu katika nyumba ya kiongozi wa chama cha Wiper na naibu nchini Kenya Kalonzo Musyoka wanachunguza kifaa kinachofanana na bomu kilichorushwa katika nyumba yake mjini Karen, Nairobi. Afisa More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro imeahirisha kesi inayowakabili wabunge wa Chadema.

Mahakama ya hakimu mkazi mkoani Morogoro kwa mara nyingine imeahirisha kesi inayowakabili wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  Peter Lijualikali wa jimbo la Kilombero na Suzani Kiwanga wa jimbo More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Watumishi 16 wa sekta ya ardhi wafukuzwa kazi.

Watumishi 16 wa sekta ya ardhi wamefukuzwa kazi huku watumishi 19 waliopo chini ya wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi wakipewa onyo kwa makosa mbalimbli  yanayochochea migogoro ya ardhi nchini kati More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Wananchi wa Kilolo washauriwa kulima korosho

Wananchi wa kijiji cha nyamagana kata ya mahenge wilayani kilolo mkoani Iringa wametakiwa kulima zao la  korosho ili kujikwamua kiuchumi kutokana na kuwepo soko la uhakika la zao hilo badala ya kutegemea kilimo More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Serikali kuwachukulia hatua viongozi wa vyama vya ushirika

Waziri wa kilimo Dk. CHARLES TIZEBA, amesema jamii imechoshwa na vitendo viovu vinavyofanywa na baadhi ya viongozi wa vyama vya ushirika nchini na wale wanaoendelea kufanya hivyo kwa kusaini mikataba mibovu watachukuliwa More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Bunge la Catalonia laahirisha uchaguzi wa rais

Spika wa bunge la jimbo la Catalonia Roger Torrent ameahirisha kikao cha bunge kwa muda usio julikana. Bwana Torrent amechukua uamuzi huo baada ya mahakama ya juu ya Uhispania kuamua kwamba aliyekuwa rais wa jimbo More...

By jerome On Wednesday, January 31st, 2018
0 Comments

Mpango wa TASAF waingiwa na Dosari Bukoba

Mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF katika wilaya ya Bukoba umeingiwa dosari baada ya watendaji wanaogawa pesa kwa walengwa kuwatoza shilling elfu moja kwa kila mmoja apokeapo fedha hizo,suala ambalo linaelezwa More...