Published On: Wed, Dec 13th, 2017

Satoru Anzaki: Mfanyabiashara aandaa sherehe ya kuaga kabla ya kufa Japan

Share This
Tags

Mfanyabiashara mmoja nchini Japan ambaye anaugua saratani na anatarajiwa kufariki karibuni aliwashangaza watu baada ya kuandaa karamu kubwa ya kuaga.

Satoru Anzaki aliwaalika wageni karibu 1,000 wakiwemo marafiki zake, watu waliosoma naye, washirika wake wa kibiashara na wafanyakazi wake.

Satoru, 80, ambaye ni mkuu wa zamani wa kampuni ya kuunda mashine ya Komatsu alipatikana na saratani ya kibofu cha nyongo Oktoba.

“Nimeridhika kwamba niliweza ksuema ‘asante’ kwa watu niliokutana nao maishani,” aliwaambia wanahabari baada ya sherehe hiyo.

“Kwa kuwa nilitaka kufurahia kabisa sehemu ndogo ya maisha niliyobaki nayo, nimeamua nisipokee matibabu baada ya kuzingatia madhara ya tiba,” alisema.

Alitangaza mpango wake wa kufanya sherehe hiyo kupitia tangazo gazetini, taarifa ambazo zilisambazwa sana mtandaoni watu wakitaniana kuhusu ingelikuwa wao wangewaalika nani.

Satoru alikodisha chumba katika hoteli moja Tokyo na akaipamba kwa picha za kumbukumbu ya maisha yake.

Posted By

-

Displaying 9 Comments
Have Your Say
 1. gykywauxic says:

  Muchas gracias. ?Como puedo iniciar sesion?

 2. Eqlmjc says:

  i need help with my assignment – essay writing essay about service

 3. Xmbtsf says:

  my future essay writing – academicwriting help me essays

 4. Mlkkgo says:

  academic writing – assignment writing services buy a essay

 5. Zsmuzt says:

  term papers for sale online – do my term paper term papers buy

 6. Hvshro says:

  assignment writing services – cheap custom essays cat essay writer

 7. i received something much different than what i was expecting.

 8. Rashad Nuno says:

  it is so light weight and comfortable.

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>