Date archive forDecember, 2017
By jerome On Monday, December 25th, 2017
0 Comments

Jumla ya watoto 20 wamezaliwa katika Hospitali za Temeke na Muhimbili jijini Dar es Salaam Usiku wa kuamkia Krismasi

Wakati serikali ya awamu ya tano ikiendelea na juhudi za kuhakikisha Tanzania inapiga hatua kimaendeleo na kuwa Taifa la Uchumi wa kati,Imeelezwa kuwa juhudi hizo  zinafaa kwenda sambamba na kusimamia maadili More...

By jerome On Monday, December 25th, 2017
0 Comments

Watu 164 wamefariki baada ya mvua kubwa kunyesha nchini Philippines

Serikali ya Philippines imesema, watu 164 wamefariki na wengine 171 hawajulikani walipo baada ya mvua kubwa kunyesha kusini mwa nchi hiyo wiki iliyopita. Mvua kubwa ilianza kunyesha katika baadhi ya maeneo ya Mindanao More...

By jerome On Monday, December 25th, 2017
0 Comments

Timu ya Mbeya yatetea ubingwa wake

Timu ya mpira wa kikapu ya Mbeya imefanikiwa kutetea ubingwa wake msimu huu baada ya kuifunga timu ya mkoa wa Songwe katika mchezo wa fainali katika mashindano ya kitaifa yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Huu More...

By jerome On Monday, December 25th, 2017
0 Comments

Khloe Kardashian atarajia mwanawe wa kwanza

Nyota wa kipindi cha runinga, Khloe Kardashian amekuwa akiwaweka mashabiki wake katika hali ya eti eti kwa miezi kadhaa kuhusiana na iwapo anatarajia mtoto wake wa kwanza. Usiku wa Jumatano , nyota huyo ambaye More...

By jerome On Monday, December 25th, 2017
0 Comments

Maandamano baada ya rais wa zamani wa Peru Aberto Fujimori kuachiliwa

Rais wa Peru Pedro Pablo Kuczynski amemsamehe rais wa zamani Alberto Fujimori katika misingi ya kiafya katika hatua ambayo imezua maandamano makali. Fujimori, 79, ambaye anatumikia kifungo cha miaka 25 jela kwa More...

By jerome On Monday, December 25th, 2017
0 Comments

Wanasayansi wapata picha za nguruwe wenye sura mbaya zaidi duniani

Wanasayansi wamepata picha za kwanza za msituni za kati ya nguruwe wachache wenye sura mbaya zaidi duniani. Nguruwe hao kwa jina Javan waty, wako kwenye hatari ya kuwindwa na kupotea kwa makaazi yao, na wanasayansi More...

By jerome On Monday, December 25th, 2017
0 Comments

Guatemala kuhamisha ubalozi wake kwenda Jerusalem

Rais wa Guatemala Jimmy Morales ameamrisha ubalozi wa nchi hiyo nchini Israel kuhamishwa kwenda Jurusalen. Katika ujumbe kupitia Facebook, Bw. Morales alisema kuwa hatua hiyo ilichukuliwa baada ya kuzungumza na More...

By jerome On Monday, December 25th, 2017
0 Comments

Mbunge wa Geita atoa Misaada kwa vituo vya yatima

Katika kusherehekea skukuu ya Chrismas  na mwaka mpya Mbunge wa jimbo la geita Mjini Constatine Kanyasu  ametoa msaada wa vyakula katika vituo vitano vya kulelea watoto yatina na wenye ulemavu wa ngozi albino. Misaada More...

By jerome On Wednesday, December 20th, 2017
0 Comments

Tanzania yataka kuimarisha uhusiano wa kunufaishana kati yake na China

dav Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Augustine Mahiga amesema, akiwa waziri wa mambo ya nje wa kwanza kutoka nchi za Afrika Mashariki kufanya ziara nchini China baada ya mkutano More...

By jerome On Wednesday, December 20th, 2017
0 Comments

Prince Harry na Meghan Markle kufunga ndoa 19 Mei 2018

Mwanamfalme Harry na Meghan Markle watafunga ndoa mnamo Jumamosi 19 Mei, 2018, Kasri la Kensington limetangaza. Wawili hao walithibitisha rasmi uchumba wao Novemba na wakasema harusi yao itafanyika katika kanisa More...