Published On: Wed, Nov 22nd, 2017
Sports | Post by jerome

Ronaldo afunga rekodi ya ufungaji magoli klabu bingwa Ulaya

Share This
Tags

Kipekee mchezaji wa kimataifa wa Ureno Cristiano Ronaldo ameweka rekodi mpya kwenye takwimu za michuano hiyo, kwa kuifungia Real Madrid jumla ya magoli 98 kwenye ligi ya klabu bingwa Ulaya ikiwa ni goli moja zaidi ya Lionel Messi aliyofunga tangu ajiunge Barcelona.

Lakini rekodi kubwa kuliko ni magoli mengi zaidi kuwahi kufungwa katika ligi ya klabu bingwa katika msimu mmoja, ambapo kwa msimu huu pekee amefunga magoli 18 peke yake.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>