Date archive forNovember, 2017
By jerome On Wednesday, November 29th, 2017
0 Comments

Milioni 20 zatolewa na wananchi kusaidia watoto wenye vichwa vikubwa.

Zaidi ya milioni 20 zimetolewa na wananchi pamoja na Taasisi mbalimbali hapa  nchini ikiwa ni mchango wa kusaidia matibabu na kununua vifaa tiba kwa ajili ya  watoto wenye vichwa vikubwa na migongo wazi. Ikiwa More...

By jerome On Wednesday, November 29th, 2017
0 Comments

Korea Kaskazini: Tunaweza kushambulia eneo lolote Marekani

Korea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kulifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu ambalo linaweza kufika eneo lolote la Marekani. Runinga ya kitaifa nchini humo imesema kuwa Pyongyang sasa imefanikiwa More...

By jerome On Wednesday, November 29th, 2017
0 Comments

Makamu wa Rais arejea Dar es Salaam akitokea Nairobi Kenya

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amerejea jijini Dar es Salaam jionihiitarehe 28 Novemba, 2017 kutoka Mjini Nairobi nchini Kenya ambako amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano More...

By jerome On Tuesday, November 28th, 2017
0 Comments

Zimbabwe: Mnangagwa atangaza msamaha kwa walioficha fedha ughaibuni

Rais mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ametangaza msamaha wa miezi mitatu kwa watu binafsi na kampuni mbalimbali ambazo zimeficha fedha za umma kinyume cha sheria nje ya nchi hiyo kuzisalimisha. Kupitia taarifa, More...

By jerome On Tuesday, November 28th, 2017
0 Comments

Unajua kwa nini wanaume hawadensi?

Zaidi ya robo tatu ya wanaume nchini Uingereza wanasema hawajahi au aghalabu wao hudensi, kwa mujibu wa utaifiti wa YouGov survey uliofanyiwa wanaume 1,000 na BBC Radio 5 live. Kigezo kikuu ni aibu – zaidi More...

By jerome On Tuesday, November 28th, 2017
0 Comments

Uchaguzi Kenya: Kenyatta aapishwa na kuahidi kuliunganisha taifa

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameahidi kuunganisha taifa hilo katika muhula wake wa pili uongozini baada ya kuapishwa katika sherehe ambayo ilisusiwa na viongozi wa upinzani. Akihutubu baada ya kula kiapo uwanjani More...

By jerome On Tuesday, November 28th, 2017
0 Comments

Bodi ya utalii yatumia watu wenye ualbino kuhamasisha utalii wa ndani

BODI ya utalii kushirikiana na shirika la hifadhi za Taifa nchini (TANAPA)  wameanzisha kampeni maalumu ya kuhamasisha utalii  wa ndani  kwa kuwashirikisha watu wenye ualbino ili wawe mabalozi  wa kuelimisha More...

By jerome On Tuesday, November 28th, 2017
0 Comments

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amjulia hali Tundu Lissu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  amemjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki  Tundu Lissu anayepata matibabu katika hospitali ya Nairobi nchini Kenya. Samia Suluhu  amemfikishia More...

By jerome On Tuesday, November 28th, 2017
0 Comments

Waziri mkuu apokea vifaa vya mashindano ya majimbo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kwa ajili ya kuanzisha mashindano ya mpira wa miguu kwa majimbo ya mkoa wa Dar es Salaam. Vifaa hivyo vimetolewa na Mwakilishi More...

By jerome On Tuesday, November 28th, 2017
0 Comments

Tutawashughulikia wote wanaotumia vibaya fedha za ukimwi-Majaliwa

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haitawavumilia watu wote wanaotumia vibaya fedha za umma ambazo zinapaswa kuleta maendeleo kwa wananchi, zikiwemo za Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi. Amesema mfuko More...