Date archive forNovember, 2017
By jerome On Thursday, November 30th, 2017
0 Comments

MAREKANI IMEYATAKA MATAIFA KUACHA KUSHIRIKIANA NA KOREA KASKAZINI

Marekani imeyataka mataifa yote kukatiza uhusiano wa kidiplomasia na ule wa kibiashara na Korea Kaskazini baada ya taifa hilo kufanyia jaribio la kombora lake la masafa marefu. Akizungumza katika baraza la usalama More...

By jerome On Thursday, November 30th, 2017
0 Comments

KITENDO CHA WAHAMIAJI KUUZWA CHAUTEKA MKUTANO WA ULAYA NA AFRIKA

Mkutano kati ya Umoja wa Ulaya EU, na Umoja wa Afrika AU unaendelea kwa siku ya pili mfululizo, huku suala la wahamiaji kuuzwa kama watumwa likigubika katika mkutano huo. Pia masuala ya ugaidi na ukosefu wa ajira More...

By jerome On Thursday, November 30th, 2017
0 Comments

WENYEVITI WA SERIKALI ZA VIJIJI WAONYWA KUBADILISHA MATUMIZI BORA YA ARDHI

Serikali imewaonya Wenyeviti wa Serikali za vijiji na Mitaa hapa nchini, kuacha tabia ya kubadilisha matumizi bora ya ardhi ili tu waweze kuchaguliwa katika nafasi za Uongozi wa kisiasa Waziri wa Ardhi Nyumba na More...

By jerome On Wednesday, November 29th, 2017
0 Comments

Watuhumiwa wa vurugu za uchaguzi mdogo Malinyi wafikia 43 .

Msako unaoendelea kufanywa na jeshi la polisi  mkoani Morogoro umefanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa wengine wawili  na kusababisha  idadi ya watuhumiwa wanaohusishwa na vurugu zilizojitokeza katika kata ya More...

By jerome On Wednesday, November 29th, 2017
0 Comments

Nyumba ya mwanzilishi wa Boko haram kuwa ya makumbusho

Nyumba ya mwanzilishi wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria itabadilishwa na kufanywa jumba la makumbusho , serikali imetangaza. Mamlaka ya jimbo la Borno, Kaskasini mashariki mwa Nigeria imesema kuwa ujenzi wa More...

By jerome On Wednesday, November 29th, 2017
0 Comments

Waziri mkuu amkabidhi IGP waliotaka kutoa semi tela 44 bila kukamilisha taratibu

  Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro kuwakamata,. Bahman wa kampuni ya NAS na Wakala wa Kampuni ya Wallmark Samwel kwa kutaka kutoa bandarini magari makubwa aina More...

By jerome On Wednesday, November 29th, 2017
0 Comments

Serikali ya DRC yawapa zawadi wachezaji TP Mazembe

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewazawadia wachezaji wa klabu ya TP Mazembe fedha taslimu dola elfu tano kila mchezaji ikiwa ni motisha wa kuwapongeza kufuatia ushindi wa kombe cha shirikisho la More...

By jerome On Wednesday, November 29th, 2017
0 Comments

IGP Sirro aahidi kupambana na wimbi la wahamiaji haramu.

Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ameahidi kulivalia njuga suala la wimbi la wahamiaji haramu ambao wamekuwa wakiingia nchini kinyemela hali ambayo inachangia  kwa kiasi kikubwa  kuwepo kwa uvunjifu More...

By jerome On Wednesday, November 29th, 2017
0 Comments

Raila Odinga aapa kuapishwa kuwa rais wa Kenya mwezi Desemba

Kiongozi wa muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya (NASA), Raila Odinga, amekataa kuutambua utawala wa Rais Uhuru Kenyatta na kusema ataapishwa kama rais wiki mbili kutoka sasa. Odinga amesema sherehe za kuapishwa More...

By jerome On Wednesday, November 29th, 2017
0 Comments

Nzi huwa wana bakteria wengi zaidi ya unavyodhani

Wanasayansi wamegundua kwamba nzi hubeba viini vingi vinavyosababisha magonjwa kuliko ilivyodhaniwa awali. Nzi wa kawaida wanaopatikana nyumbani na nzi wanaopatikana sana kwenye mizoga huwa na bakteria zaidi ya More...