Published On: Wed, Oct 18th, 2017
Travel | Post by jerome

Watalii zaidi ya 60 kutoka nchi saba duniani wakutana Tanzania

Share This
Tags

Katika kukuza na kutangaza sekta ya utalii ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, mamlaka ya hifadhi nchini kwa kushirikiana na bodi ya utalii imewakutanisha watalii zaidi ya 60 kutoka nchiĀ saba duniani kwa lengo la kujionea vivutio mbalimbali na hatiamae kuitangaza Tanzania kupitia sekta ya utalii na tamaduni zake.

Wakizungumza na clouds Tv baadhi ya watalii hao wamesema kuwa nchi ya Tanzania ni nchi pekee iliyo na vivutio vya wananyama mbalilbali wakiwemo ndege,mito na mabondeĀ  ambapo wanatarajiwa kutembelea hifadhi ya tarangire,Serengeti,Ngorongoro pamoja na ziwa manyara huku lengo likiwa ni kukuza utalii ndani na nje ya Tanzania .

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>