Published On: Fri, Oct 13th, 2017

MKAKATI KUSAIDIA WAKULIMA WA MCHELE MKOANI MBEYA

Share This
Tags

Serikali ya Mkoa wa MBEYA imeweka mkakati madhubuti wa kuwasaidia Wakulima wa Mpunga mkoani humo ili kuboresha uzalishaiji wa Mchele wa Mbeya ulio na umaarufu kila pembe ya nchi.

Mkoa wa MBEYA umekuwa ukisifika sana kwa kilimo cha mpunga na uzalishaji wa MCHELE kwa wingi.

Mchele wa MBEYA ndio mchele ambao soko lake huwa ni la uhakika na unaopatikana kwa wingi muda wote katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Msimu wa TIGO FIESTA ukiwa jijini humo umezungumza na Mkuu wa Wilaya ya MBEYA mjini WILLIAM NTINIKA kutaka kufahamu mikakati ya Wilaya hiyo na mkoa kwa ujumla katika kuwasaidia wakulima wa MPUNGA ili uzalishaji wa Mchele usiweze kushuka.

Kuhusu utekelezaji wa sera ya Tanzania ya VIWANDA Mkoa umeanza kufanyia kazi baadhi ya mambo muhimu ikiwemo kuboresha sekta za kilimo.

Lakini pia Mkuu huyo wa Wilaya akaelezea mikakati ya wilaya hiyo kuvutia zaidi wawekezaji kupitia fursa mbalimbali.

Kesho wananchi wa Mkoa huo wanaukaribisha Msimu wa TIGO FIESTA kwa CLASSIC SHOW ambayo haijafanyika katika mikoa yote zaidi ya mkoa huo.

Posted By

-

Displaying 5 Comments
Have Your Say
 1. Itnrvp says:

  my father essay writing – paper writer best writing essay

 2. Smirtl says:

  help writing paper – essays writing term paper custom

 3. Ddvaed says:

  custom written papers – pay for assignments buy my essay

 4. Ijovic says:

  help write my paper – how to write a letter to a hiring manager cheap essay writer

 5. Cuoruo says:

  purchase term paper – i need help with my assignment custom order essays

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>