Date archive forOctober, 2017
By jerome On Tuesday, October 31st, 2017
0 Comments

Miili 9 iliyokatwakatwa yapatikana kwenye nyumba Tokyo Japan

Polisi nchini Japan wamemkamata mwanamume mmoja baada ya kupata viungo vya miili tisa katika nyumba yake iliyo Zama huko Tokyo. Polisi walipata vichwa viwili kwenye jokovu nje ya nyumba ya mshukiwa kwa jina Takahiro More...

By jerome On Tuesday, October 31st, 2017
0 Comments

Zitto Kabwe aachiwa na kukamatwa tena

Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, aachiwa na kukamatwa tena kwa maelekezo ya ofisi ya afisa upelelezi wa makosa ya jinai. Mbunge huyo wa Kigoma mjini, alikamatwa mara ya kwanza asubuhi ya Jumanne nyumbani More...

By jerome On Tuesday, October 31st, 2017
0 Comments

Wananchi wagomea ushuru wa taka wakidai risiti za EFD’S.

Wakazi Wa Kata ya Kashaulili Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamegomea Kutoa Ushuru wa Taka kwa Madai ya kukataa Risiti za kuandikwa kwa mkono na kutaka Risiti za mashine za EFD’s ili kuendana na agizo la Mkuu More...

By jerome On Tuesday, October 31st, 2017
0 Comments

RC Mara aagiza watendaji kufanya kufanya tathmini ya kilimo cha mkataba cha zao la pamba.

Mkuu wa mkoa wa mara Adam Malima ameagiza  kufanyika tathmini ya kilimo cha mkataba cha zao la pamba, ili kuona mpango huo umefanikiwa kwa kiasi gani  ikiwa ni mkakati wa kuongeza uzalishaji na jinsi unavyomnufaisha More...

By jerome On Tuesday, October 31st, 2017
0 Comments

RC mpya Mtwara akusudia kupandisha ufaulu.

Kutokana na mkoa wa Mtwara kutofanya vizuri katika sekta ya elimu na kusababisha kushika nafasi za chini katika matokeo ya mitihani ya Kitaifa, mkuu mpya wa mkoa huo Gelasius Byakanwa amesema atahakikisha anainua More...

By jerome On Tuesday, October 31st, 2017
0 Comments

Ubelgiji: Tuko tayari kumpa hifadhi ya ukimbizi Carles Puigdemont

Kiongozi wa jimbo la Catalonia nchini Uhispania Carles Puigdmont amekwenda nchini Ubelgiji. Hili limethibitishwa na wakili wake, wakati huu kukiwa na ripoti kuwa amekimbia nchi kwa hofu ya kukamatwa. Hatua hii More...

By jerome On Tuesday, October 31st, 2017
0 Comments

Shambulizi la majeshi ya serikali laua watu 15 Libya

Watu 15 wakiwemo watoto wameuawa Mashariki mwa Libya, katika shambulizi la angaa lililotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika makabiliano na makundi ya waasi. Mji wa Derna umekuwa ukilengwa na wanajeshi wa serikali More...

By jerome On Tuesday, October 31st, 2017
0 Comments

Wanajimu wagundua sayari ndogo mbili zinazofanana na nyotamkia

Wanajimu wamegundua sayari ndogo mbili zinazozungukana zikitoa hewa na vumbi angani kama nyotamkia. Sayari ndogo ni gimba dogo la angani linalozunguka jua ambazo nyingi zinaundwa na miamba. Nyotamkia ni gimba More...

By jerome On Tuesday, October 31st, 2017
0 Comments

Ni hulka ya binadamu kuogopa nyoka na buibui

Wanasayansi wa Ulaya wamefanya majaribio na kugundua kuwa ni hulka ya binadamu kuogopa nyoka au buibui. Katika jamii ya kisasa watu wengi hawajawahi kuona nyoka au buibui wenye sumu, lakini bado kuna watu wengi More...

By jerome On Tuesday, October 31st, 2017
0 Comments

Kenya: uagizaji wa mitumba umepanda na kufikia sh bilioni 6.6

Kenya ilitumia Sh bilioni 6.6 kuagiza nguo za mitumba katika nusu ya kwanza ya mwaka, takwimu rasmi inaonyesha. Takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya inaonyesha muswada wa kuagiza ngua za mitumba, More...