Published On: Thu, Sep 14th, 2017
World | Post by jerome

RAIS DONALD TRUMP ATETA NA VIONGOZI WA DEMOKRATIC

Share This
Tags

Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na wanasiasa wawili waandamizi kutoka chama cha Demokrat katika bunge la Congress kujadili maswala ya sintofaham.

Pande zote mbili zimekutana katika mazungumzo hayo wakati wa chakula cha jioni ikulu ya white house yalikuwa yenye manufaa.

Katika taarifa, Chuck Schumer na Nancy Pelosi wamesema wamekubaliana kuunda mpango wa pamoja kuhusu usalama wa mipakani na Donald Trump.

Wanasema mpango huo unajumuisha kuwalinda wahamiaji wenye umri mdogo lakini haukujumuisha ujenzi wa ukuta kwenye mpaka na taifa la Mexico.

 

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>