Published On: Tue, Sep 12th, 2017
Sports | Post by jerome

Rafael Nadal amshinda Kevin Anderson michuano ya wazi ya tennis nchini Marekani

Share This
Tags

Rafael Nadal ameshinda taji la michuano ya 16 ya wazi ya tennis kwa kumfunga Kevin Anderson wa Afrika Kusini jumla ya seti 6-3, 6-3 na 6-4 huko New York Marekani.

Mhispania huyu, mwenye umri wa miaka 31, sasa ameshinda Slams mbili ndani ya mwaka mmoja kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2013, baada ya kushinda michuano ya wazi ya tennis yaliyofanyika nchini Ufaransa mwezi Juni.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>