Published On: Tue, Sep 12th, 2017
World | Post by jerome

Kimbunga Irma chasababisha vifo vya watu 10 Cuba

Share This
Tags

Ripoti iliyotolewa na idara ya ulinzi wa kiraia nchini Cuba inasema dhoruba ya Irma imesababisha vifo vya watu 10 katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo.

Ripoti inasema wengi wa wahanga walifariki baada ya kuangukiwa na majengo au kukumbwa na mafuriko kwenye pwani ya kaskazini ya nchi hiyo.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>