Published On: Tue, Sep 19th, 2017
Sports | Post by jerome

Hamilton ashinda michuano ya Singapore Grand Prix

Share This
Tags

Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda michuano ya Singapore Grand Prix mbele ya mpinzani wake mkubwa Sebastian Vettel.

Licha ya kushinda, Hamilton anataja michuano ya mwaka huu kuwa na upinzani mkali. Hamilton, ambaye alianza mzunguko wa tano kwa kusuasua aliongoza baada ya Vettel kugongana na dereva mwenzake wa Ferrari Kimi Raikkonen.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>