Published On: Wed, Sep 13th, 2017
Sports | Post by jerome

Celtic yaingia matatani na UEFA baada ya shabiki kuingia uwanjani

Share This
Tags

Timu ya Celtic imeingia matatani na UEFA baada ya shabiki wa timu hiyo kuingia uwanjani wakati wa mechi na kutaka kumpiga mshambuliaji mpya wa PSG, Kylian Mbappe.

Hata hivyo, shabiki huyo alimkosa Mbappe na kuanza kukimbia kutoka nje baadaye akakamatwa na walinzi. Tukio hilo lilitokea katika kipindi cha kwanza cha mechi ya ligi ya mabingwa llaya na wenyeji Celtic walipoteza kwa mabao 5-0.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>