Date archive forSeptember, 2017
By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

Sekta ya utalii kuimarika mwishoni mwa mwaka huu

Wadau wa sekta ya utalii nchini Kenya wamesema wana wanatarajia idadi kubwa ya wageni kutoka nje ambao watasaidia kupiga jeki sekta hiyo ambayo ilikuwa imedidimia. Taarifa hii inakuja wakati ambapo idadi ya wageni More...

By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

Kukaa kwa muda mrefu ofisini kuongeza hatari ya kupata saratani ya utumbo mpana

Utafiti mpya uliotolewa na watafiti wa Australia umeonesha kuwa kukaa kwa muda mrefu ofisini kunaongeza hatari ya kupata saratani ya utumbo mpana, hivyo watafiti wanapendekeza watu kupunguza hatari hiyo kupitia More...

By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

CHAVITA walia na lugha ya alama katika vituo vya kutolea huduma za jamii

Licha ya serikali na wadau  wa maendeleo kuonyesha jitihada za kuondoa changamoto ya lugha ya alama katika taasisi mbalimbali za kutolea  huduma za Kijamiii,  lakini bado kundi la watu wenye ulemavu wa kusikia More...

By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

Afisa mkuu wa Kenya aliyeshambuliwa na al-Shabab azikwa

Hali ya uzuni iligubika nyumba ya aliyekuwa katibu mkuu katika wizara ya nguvu kazi Mariam El Maawy ,ambapo maafisa wa serikali walijumuika na familia yake kuomboleza kifo cha afisa huyo kabla ya kumzika katika More...

By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

Kufanya kazi ndogo ndogo ya nyumbani kunaweza kuboresha maisha ya wazee.

Kubeba bidhaa waliyonunua, kufanya ukulima kidogo kwenye bustani na kusafisha nyumba kunaweza kuwasaidia watu wazee kuwa na maisha marefu yenye afya, kulingana na wataalamu wa afya. Madaktari wanasema kuwa mamilioni More...

By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

Unene wa mwili na umri mkubwa vinachangia wanawake kujifungua kupitia upasuaji

Unene wa mwili kupita kiasi na mama wazee ndicho chanzo cha kuwepo maelfu ya wanawake wanaojifungua kwa njia ya upasuaji, kwa mujibu wa wataalamu. Takwimu zinaonyesha kuwa upasuaji uliopangwa au wa dharura umeongezeka More...

By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

Roketi kuanza kusafirisha watu kati ya miji kwa dakika tu

Hivi karibuni watu wataweza kusafiri kutoka mji mmoja hadi mwingine kutumia roketi, safari ambayo itachukua dakika chache tu, kulingana na mjasiriamali Elon Musk. Musk aliahidi haya katika kongamano moja nchini More...

By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

Kim Kardashian na Kanye West kupata mtoto wa 3

Kim Kardashian West na mumewe Kanye West wamethibitisha kwamba watapata mtoto mwengine kutoka kwa mama anayebeba mimba kwa niaba yao. Mwisho wa kipindi chao cha The Kardishians, nyota huyo alimwambia dadake Khloe More...

By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

Marekani yadai kuwasiliana na Korea Kaskazini ”moja kwa moja”

Marekani inawasiliana na Korea Kaskazini ”moja kwa moja”, kulingana na waziri wa maswala ya kigeni Rex Tillerson. Bwana Tillerson alisema kuwa Washington ilikuwa unachunguza uwezekano wa mazungumzo More...

By jerome On Saturday, September 30th, 2017
0 Comments

10 wafariki baada ya ndege ya kijeshi kuanguka DR Congo

Ndege ya kijeshi imeanguka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuuua abiria wote. Maafisa wa masuala ya angani wamesema kuwa ndege hiyo ilifeli kupaa vizuri kutoka uwanja wa ndege wa N’djili katika More...