Published On: Tue, Aug 29th, 2017
Business | Post by jerome

Wafanyabiashara uwanja wa ndege Bukoba watakiwa kusitisha biashara zao

Share This
Tags

Wafanyabiashara wanaofanya shughuli  zao kando kando ya kiwanja cha ndege katika manispaa ya Bukoba wameombwa kusitisha na kutoendeleza biashara katika eneo hilo ili kuweza kuepusha athari zinazoweza kujitokeza ikiwa ni pamoja na uimarishaji usalama wa kiwanja huo.

Meneja wa kiwanja cha ndege cha Bukoba,anasema uwepo wa wafanyabiashara hao unahatarisha usalaama wa kiwanja hicho lakini pia wafanyabiashara hao wanaweza kuathirika iwapo ndege ikipata hitilafu katika kiwanja hicho..

Erasto Mfugale ni mkurugenzi wa manispaa ya Bukoba anasema tayari wameshaanza jitihanda za kuwatambua wafanyabiashara hao ili waweze kuwaandalia maeneo rafiki kwa ajili ya biashara zao.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>