Published On: Sat, Aug 12th, 2017

Kamanda Muliro aongoza matembezi ya pamoja ya askari na maofisa

Share This
Tags

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Muliro J. Muliro, ameongoza mazoezi ya Ukakamavu na kuwajengea Ujasiri na wepesi askari wa Jeshi hilo ili kuweza kuhimili na kuyamudu majukumu yao ya kazi za Polisi.

Pia katika matembezi hayo, amewahakikishia wananchi kuwa, suala la uhalifu katika mkoa wake wa Kinondoni, atahakikisha linadhibitiwa huku akiwataka wananchi kushirikiana na Jeshi hilo na kutoa taarifa za kweli kuhusiana na wahalifu.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>