Published On: Fri, Aug 11th, 2017

JAJI WARIOBA ATAKA WATANZANIA KUITUNZA MISITU

Share This
Tags

Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya pili jaji Joseph Warioba ametembelea Chuo kikuu cha kilimo Sokoine olmotonyi SUA tawi la arusha kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya kilimo na utunzaji wa mazngira.

Jaji Warioba ambae pia ni mkuu wa chuo cha kilimo Sokoine amewataka watumishi katika chuo hicho kuendeleza ushirikiano Kati ya jamii na chuo kwa lengo la kuboresha mahusiano chanya kwa jamii inayo ishi maeneo hayo. Aidha kwa upande wake mwenyekiti wa baraza Jaji mstaafu Othumani Chande akaeleza dhumuni la ziara hiyo fupi kwa maendeleo ya kilimo. zaidi ya hekari Mia nane zimetumika katika shughuli za kilimo katika chuo hicho ambapo hekari Mia Sita hutumika kwa ajili ya upandaji wa misitu katika chuo hicho cha kilimo Sokoine olmotonyi wilayani arumeru.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>