Date archive forAugust, 2017
By jerome On Thursday, August 31st, 2017
0 Comments

KOREA KASKAZINI YAIONYA JAPAN KWA KUTAKA KUSHIRIKIANA NA MAREKANI

Nchi ya Korea Kaskazini imeionya Japan kuwa itaharibikiwa kwa kuamua kuchukua upande wa serikali ya Marekani kauli inayotoa siku chache tu baada ya kurusha kombora lililovuka ardhi ya Japan. Waziri Mkuu wa Japan More...

By jerome On Thursday, August 31st, 2017
0 Comments

URUSI YAIONYA MAREKANI NA KUTAKA ITUMIE DIPLOMASIA KWA KOREA KASKAZINI

  Waziri wa Mashauriano ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov ameionya Marekani kuyapa kipaumbele mazungumzo ya matumizi ya Nyuklia kuliko kuiwekea vikwazo zaidi Korea Kaskazini. Waziri Lavrov amemueleza Waziri wa More...

By jerome On Wednesday, August 30th, 2017
0 Comments

Wajasiriamali 300 kushiriki maonesho Kigoma

Zaidi ya wajasiriamali 300 kutoka mikoa zaidi ya 10 nchini na nchi jirani wanatarajia kushiriki maonyesho ya kanda ya kati ya wajasiriamali yanayotarajia kuanza wilayani Kasulu mkoani Kigoma Agosti 30 mwaka huu. Mwenyekiti More...

By jerome On Wednesday, August 30th, 2017
0 Comments

Wadaiwa sugu kodi ya ardhi wafikishwe mahakamani-Mabula

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabulla ameziagiza halmashauri zote kuwafikisha mahakamani na kuuza mali zao wadaiwa sugu wa kodi ya pango la ardhi wenye madeni ya muda mrefu. Mabulla More...

By jerome On Wednesday, August 30th, 2017
0 Comments

Wafanyabiashara wa Soko la Sido wauzia bidhaa nje

Wafanyabiashara wa Soko la Sido jijini Mbeya ambalo liliteketea kwa moto, wameamua kufanyia biashara nje ya soko hilo wakisubiri ruhusa ya kuanza ujenzi wa vibanda vya kudumu. Soko hilo liliungua moto usiku wa More...

By jerome On Wednesday, August 30th, 2017
0 Comments

Uuzaji na usafirishaji wa mpunga Kilombero marufuku

Serikali wilayani Kilombero imepiga marufuku usafirishaji mpunga kwenda maeneo mengine,badala yake waukoboe na kusafirisha mchele ili kuongeza thamani ya zao hilo. Marufuku hiyo imeelezwa inalenga kuwawezesha More...

By jerome On Wednesday, August 30th, 2017
0 Comments

Uamuzi wa kesi ya kupinga ushindi wa rais Kenyatta kufahamika Ijumaa

Majaji wa Mahakama ya Juu wameanza kuandika uamuzi wa kesi ya kupinga ushindi wa rais Uhuru Kenyatta, iliyowasilishwa na kiongozi wa Muungano wa upinzani NASA Raila Odinga. Hatua hii inakuja baada ya Majaji More...

By jerome On Wednesday, August 30th, 2017
0 Comments

Je wajua ndege hutumia harufu kusafiri maeneo ya mbali?

Ndege uhamia maeneo yalio umbali wa maelfu ya kilomita bila kupotea. Kwa mfano ndege kwa jina Arctic yeye huwa Uingereza majira ya joto na baadaye kusafiri hadi eneo la Atarctic wakati wa majira ya baridi. Licha More...

By jerome On Wednesday, August 30th, 2017
0 Comments

Everton yakataa ombi la Chelsea kumnunua Ross Barkley

Everton wamekataa dau la £25m kutoka kwa Chelsea kumununua Ross barkley , lakini kiungo huyo wa kati wa Uingereza bado anaweza kuihama klabu hiyo kabla ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho siku ya alhamisi. Ombi More...

By jerome On Wednesday, August 30th, 2017
0 Comments

Oxlade Chamberlain aikataa Chelsea, ataka kwenda Liverpool

Kiungo wa kati wa Arsenal Alex Oxlade Chamberlain amekataa uhamisho wa Chelsea baada ya klabu hiyo kukubali dau la £40m. Oxlade Chamberlain anaamini kwamba Chelsea ilipanga kumtumia kama beki wa kulia huku lengo More...