Published On: Tue, Jul 11th, 2017
Business | Post by jerome

Tanzania Fastjet yanunua Easyjet

Share This
Tags

KAMPUNI ya Ndege ya Fastjet imenunua hakimiliki zote kutoka kwa kampuni mwenza ya Easyjet kuanzia Juni mwaka huu kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 2.5 (Sh bilioni 5.25).

Fastjet ni kampuni kubwa kwa sasa inayotoa huduma sehemu nyingi Afrika.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>