Published On: Wed, Jul 5th, 2017

MANISPAA YA MPANDA YAELEMEWA NA TAKA.

Share This
Tags

Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi inakabiliwa changamoto kubwa katika swala zima la usafi wa mazingira kutokana Uzalishaji wa taka ngumu kwa siku kiasi cha Tani 70.5 huku ikiwa na uwezo wa kuzoa Taka zipatazo tani 32.2 kwa siku na tani 23.21 zikibaki bila kuzolewa na kuweka Uchafu kwa Wananchi.

Mweyekiti wa udhibiti wa taka ngumu Mary Allani  amebainisha kuwa halmashauri imeweka mkakati wa kuhakikisha taka zinaondolewa .

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Mkoani Humo Liliani Chalres Matinga ametoa agizo kwa mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa kuwaandikia barua watendaji wa kata zote  ili mabaraza ya kata yaweze kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria

Nae  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda Mhe.William Mbogo akawabainisha licha ya kuwepo kwa changamoto hizo lkn Bado kuna uwezekano wa kuzikabili.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>