Published On: Fri, Jul 14th, 2017
Sports | Post by jerome

KLABU YA CHELSEA KULIPA PAUNDI 40 ZA USAJILI WA TIEMOU

Share This
Tags

Klabu ya Chelsea imekubali kutoa kias cha paundi milioni arobaini kumsajili kiuongo wa Monaco Tiemou bakayoko Taarifa zinasema bakayoko atafanyiwa vipimo vya afya week hii, kwa ajili ya kujiunga na mabingwa hao wa Epl msimu huu.

Bakayoko aliisaidia Monaco kushinda taji la ligi kuu ya ufaransa msimu uliopita  huku akiichezea michezo 51chini ya kocha Leonard jardim na kuisaidia timu hiyo kufika hatua ya nusu Fainal ya ligi ya mabingwa barani ulaya.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>