Published On: Fri, Jul 14th, 2017

AFYA YA MACHO

Share This
Tags

Baraza la Afrika la wanasayansi wa macho Optometria wamekutana jana jijiniĀ  Dar Es salam kujadili hali ya Ugonjwa wa macho katika Bara la Afrika huku Msisitizo mkubwa ukiwekwa kwa jamii kupima macho angalau mara mbili kwa mwaka.

JICHO ni kiungo muhimu katika mwili wa binadamu kwa maana ndiyo kama taa ya mwili. Pamoja na kuwa kuna viungo vingine kwa ajili ya ufahamu wa mtu, lakini linaongoza kwa matumizi ya ufahamu kwa watu wengi.

Kwa mujibu wa takwimu za WHO zinasema asilimia 80 ya watu wenye matatizo ya kuona yameshamiri katika nchi zinazoendelea huku Tanzania ikiwa ni moja wapo.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>