
WAFANYAKAZI WA MAREKANI NCHINI URUSI KUFUNGASHA VIRAGO
Rais wa Urusi VLADIMIR PUTIN ameagiza wafanyakazi 755 wa ubalozi wa Marekani nchini Urusi kusitisha shughuli zao kufikia Septemba mosi mwaka huu. Urusi imeidhinisha hatua hiyo kwa ghadhabu kufuatia vikwazo vipya More...

TUME YA UCHAGUZI NA MIPAKA IEBC KENYA YAPATA PIGO
Afisa wa cheo cha juu wa tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC, ambaye alitoweka siku ya Ijumaa amepatikana akiwa amefariki. Mwili wa CHRISTOPHER CHEGE MUSANDO, ambaye alikuwa kaimu mkurugenzi wa More...

MWIGULU NCHEMBA: ANZENI UJENZI WA MAGEREZA HARAKA
Waziri wa mambo ya ndani MWIGULU NCHEMBA ameutaka uongozi wa mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama kuanza haraka ujenzi wa magereza ili kupunguza msongamano wa wafungwa walioPo katika More...

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA MELI MBILI ZA MIZIGO MBEYA
Waziri mkuu KASSIM MAJALIWA katika ziara yake mkoani mbeya amezindua Meli mbili za mizigo ambazo amesema zitapunguza adha ya usafirishaji mizigo kupitia Bandari ya Itungi Port. Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Kyela More...

WAJASIRIAMALI WALIA NA TAMKO LA SERIKALI DHIDI YA MRADI WA VIPEPEO
Zaidi ya wananchi 156 wa kata ya kisiwani tarafa ya Muheza mkoani Tanga ambao ni wajasiriamali wa biashara ya vipepeo wamesema maisha yao yamekuwa magumu kutokana na tamko la serikali la kufungia vibali More...

STELLA MANYANYA AAGIZA VYOO VYA MABWENI VYA WENYE ULEMAVU VIJENGWE
Naibu Waziri wa Elimu Mhandisi STELLA MANYANYA amemuagiza msimamizi wa ukarabati wa shule ya Sekondari Kantalamba kuhakikisha walemavu wanajengewa vyoo vyao ndani ya mabweni wanayolala ili kujiepusha na kuwaamsha More...

JOHN KELLEY ATEULIWA NA RAIS DONALD TRUMP KUWA MKUU WA UTUMISHI WA SERIKALI.
Rais wa Marekani DONALD TRUMP amemteua Waziri wa Usalama wa Ndani JOHN KELLY kuwa mkuu wa utumishi wa serikali baada ya kumwachisha kazi REINCE PRIEBUS aliyehudumu katika wadhifa huo kwa miezi sita. Baada ya miezi More...

Tanzania yapinga biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu
Tanzania leo imeungana na nchi nyingine Duniani kuadhimisha siku ya kupinga biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu ambayo imetajwa kukua kila uchao na kusababisha maumivu kwa jamii zinazofikwa na madhira hayo. Katibu More...

KOREA KASKAZINI YAZIDI KUIPA JOTO MAREKANI
Korea Kaskazini imesema imefanikiwa kufanyia jaribio la kombora lake la masafa marefu ICBM, wakitaja kuwa onyo kali kwa Marekani. Kiongozi wa Korea Kaskazini KIM JONG-UN amesema jaribio hilo lilibaini kwamba marekani More...

Mshambuliaji mwenye silaha avamia makazi ya Rutto.
Watu wenye silaha ambao hawakuweza kutambuliwa wameshambulia makazi binafsi ya Naibu Rais wa Kenya William Rutto yaliyopo mji wa Eldoret ulioko Kaskazini mwa Kenya leo hii. Hata hivyo shambulizi hilo limefanyika More...