Published On: Wed, Jun 14th, 2017
World | Post by jerome

Watu kadhaa wafariki baada ya moto kuteketeza jengo refu London

Share This
Tags

Watu kadha wamefariki baada ya moto mkubwa kuteketeza jengo refu usiku wa kuamkia leo mjini London.

Wazima moto bado wanakabiliana na moto huo katika jumba la Grenfell Tower, ambapo walioshudia walisema kuwa watu walikwama ndani, wakiitisha msaada.

Zaidi ya watu 50 wanatibiwa hospitalini.

Moto huo katika jengo la Grenfell Tower ulianza muda wa saa 01:16, saa za Uingereza.

Idara ya wazima moto jijini London ilituma malori 40 ya kuzima moto huo.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>