Published On: Fri, Jun 9th, 2017

UANDIKISHAJI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Share This
Tags

Wakazi wa manispaa ya Iringa wameipongeza serikali kutokana na zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa ambavyo wanatarajia kupewa huku vikitajwa kuwa na umuhimu mkubwa katika kupata huduma za kijamii pamoja na kupunguza matukio ya kiharifu kutokana na mwingiliano wa watu.

Wananchi hao wamezungumza hayo wakati Clouds Tv ilipotembelea katika vituo vya kuandikisha wananchi ili waweze kupata vitambulisho hivyo ambapo wamesema kutokana na hali ilivyo kwa kwasasa ikichangiwa na mwingiliano wa watu kutoka mataifa mengine vitambulisho hivyo vitasaidia kuwatofautisha na watu wengine huku pia vikisaidia kuwatambua wahamiaji wasio halali.

 

 

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>