Published On: Tue, Jun 13th, 2017
Sports | Post by jerome

Nyota wa zamani wa Chicago Bulls arejea Korea Kaskazini

Share This
Tags

Aliyekuwa nyota wa mpira wa kikapu nchini Marekani Dennis Rodman amefanya tena ziara nchini Korea Kaskazini.

Nyota huyo wa zamani wa NBA anafanya ziara ya kibinafsi.

“Ninajaribu tu kufungua mlango,” aliwaambia waandishi wa habari katika uwanja wa ndege mjini Beijing akielekea nchini Korea Kaskazni.

Aligonga vichwa vya habari baada ya kufanya urafiki na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, wakati wa ziara zake za awali mwaka 2014 na 2014 nchini Korea Kaskazini.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>