Published On: Wed, Jun 28th, 2017
Science | Post by jerome

Muungano wa magwiji wa kampuni za mitandao ya kijamii dhidi ya ugaidi

Share This
Tags

Mabingwa ya mitandao ya kijamii kama Facebook,Microsoft,Youtube na Twitter zakubaliana kuunda kundi la kikazi la kimataifa litakalokuwa likishughulika kuondoa ujumbe au maudhui yoyote yanayoashiria kazi za kigaidi mitandaoni.

Hatua hiyo ya kampuni hizo za mitandao ya kijamii imefanyijka kufuatia shinikizo hasa kutoka Marekani na Ulaya .

Makampuni hayo yameahidi kuanzisha suluhisho la kiteknolojia la pamoja kupiga vita ugaidi mitandaoni.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>