Published On: Wed, Jun 28th, 2017
Business | Post by jerome

Google yapigwa faini na EU

Share This
Tags

Tume ya ulaya imeipiga google faini ya dola bilioni 2.42 kutokana na kukiuka masharti ya kuweka matangazo yake.

Kwa mujibu wahabari,faini hiyo iliyotolewa na umoja wa Ulaya ni kati ya faini kubwa zilizowahi kutolewa.

Ripoti zinaonyesha kuwa Google imepewa muda wa siku 90 kubadilisha mfumo wake la sivyo itapigwa faini zaidi.

Google imeonekana kuathiri biashara pamoja na wateja wengi Ulaya.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>