Published On: Tue, Jun 13th, 2017
Sports | Post by jerome

French Open: Nadal ashinda taji na kuweka historia

Share This
Tags

Mwanatenisi Rafael Nadal ameanza kunyemelea nafasi ya kwanza duniani katika viwango bora vya ATP baada ya kuweka historia kwa kunyakua tajo lake la 10 la Roland – Garros (French Open).

Rafael kwa sasa yuko pointi 2,605 nyuma ya bingwa namba moja duniani Andy Murray kutoka Uingereza. Mhispania mwenye miaka 31 mara ya mwisho alikuwa namba moja duniani mwaka 2013.

Naye malkia mpya wa French Open Jelena Ostapenko kutoka Latvia amepanda kutoka nafasi ya 47 hadi 12. Serena Williams ambaye mwaka huu amechukua likizo ya uzazi ameteremka kutoka nafasi ya pili hadi ya nne.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>