Published On: Wed, Jun 7th, 2017
Sports | Post by jerome

Denmark na Ujerumani watoka sare

Share This
Tags

Mechi ya soka ya kirafiki kati ya Denmark na Ujerumani imeishia kwa sare ya goli 1 – 1. Bao la Ujerumani lilifungwa na chipukizi wa Bayern Munich Joshua Kimmich. Ni mechi ambayo kocha Joachim Loew aliwapa nafasi wachezaji sita wapya ili kukifanyia majaribio kikosi chake kabla ya michuano ya Kombe la Mashirikisho.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>