Date archive forJune, 2017
By jerome On Saturday, June 24th, 2017
0 Comments

Benki ya dunia yapongeza juhudi za Tanzania katika kupambana na ufisadi

Benki ya dunia imepongeza hatua zilizochukuliwa na Tanzania katika kupambana na rushwa nchini humo. Benki hiyo pia imetoa njia tano kwa Tanzania zitakazoongeza ufanisi kwenye vita hivyo badala ya kutegemea kuboresha More...

By jerome On Saturday, June 24th, 2017
0 Comments

Wakaazi wahamishwa majengo ya ghorofa refu London

Wakaazi wa nyumba 650 wamehamishwa Jumamosi(24.06.2017) kutokana na hofu za moto kufuatia kuteketea kwa jengo la ghorofa la Grenfell kulikosababisha maafa lakini watu 83 wamegoma kuzihama nyumba zao. Majumba manne More...

By jerome On Saturday, June 24th, 2017
0 Comments

Miili sita yatolewa kwenye matope katika maporomoko ya ardhi China

Takriban miili 6 imepatikana huku zaidi ya watu 100 wakiwa bado hawajulikani walipo ikiwa ni masaa kadhaa baada ya maporomoko makubwa ya ardhi yaliyofukia kijiji cha Xinmo Kusinimagharibi mwa China leo hii. Timu More...

By jerome On Saturday, June 24th, 2017
0 Comments

Mabinti 8 wa mfalme wa UAE wapatikana na hatia ya unyanyasaji

Mabinti wanane wa mfalme wa milki za kiarabu UAE wamepatikana na hatia ya ulanguzi wa binadamu mbali na kuwadhalilisha wafanyikazi wao na mahakama moja mjini Brussels. Walipewa kifungo cha miezi 15 jela na kuagizwa More...

By jerome On Saturday, June 24th, 2017
0 Comments

Jaji Kiongozi : Mahakama ni chombo cha wananchi kutafuta haki

Jaji Kiongozi wa Tanzania Ferdinand Wambali amesema ni lazima mahakama itimize wajibu wake katika kutoa haki kwa jamii na haki hiyo ionekane imetendeka. Akizungumza mkoani kigoma Jaji wambali amesema idara ya mahakama More...

By jerome On Saturday, June 24th, 2017
0 Comments

IGP SIRO-Kazi ya kibiti haina muda mrefu

Jeshi la Polisi nchini limesema hali ya mauaji ya kutumia silaha za moto yanayoendelea Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga mkoani Pwani  haitachukua muda mrefu kukoma na kutoa wito kwa wananchi kutoa ushirikiano wa kutosha More...

By jerome On Saturday, June 24th, 2017
0 Comments

Lipumba azindua kamati ya maadili ya chama cha CUF

Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF) Prof. IBRAHIM LIPUMBA amezindua Kamati ya Maadili ya Chama hicho ambayo pamoja na shughuli nyingine itakuwa na kazi kubwa ya kumhoji Katibu Mkuu wa Chama hicho MAALIM SEIF More...

By jerome On Friday, June 23rd, 2017
0 Comments

SERIKALI YATAKIWA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA VITUO VYA HUDUMA ZA DHARURA

Serikali imetakiwa kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya vituo vya afya vinavyotoa huduma ya upasuaji ili kuboresha huduma katika vituo hivyo na kuokoa maisha ya mama na mtoto. Rai hiyo imetolewa na mashirika yanayosaidia More...

By jerome On Friday, June 23rd, 2017
0 Comments

INDIA YAOMBA MASHIRIKA YA USAFIRI WA ANGA KUONGEZA SAFARI HADI DOHA

India imeyaomba mashirika mawili ya ndani ya usafiri wa ndege kufanya safari mbili za ziada hadi Doha nchini Qatar wakati wa sikukuu ya Eid. India imeyaomba mashirika mawili ya ndani ya usafiri wa ndege kufanya More...

By jerome On Friday, June 23rd, 2017
0 Comments

SERIKALI YAZINDUA OFISI ZA TRA MKOANI GEITA

Serikali yazindua Ofisi za Mamlaka ya mapato Katika Wilaya ya CHATO Mkoani GEITA ambayo itaondoa kero ya muda mrefu kwa wananchi kutembea zaidi ya kilometa 90 kutafuta huduma hiyo. Wakati bajeti ya serikali kwa More...