Published On: Tue, May 9th, 2017

Wanamitindo wembamba wapigwa marufuku Ufaransa

Share This
Tags

Sheria nchini Ufaransa inayopiga marufuku wanamitindo wembamba wasio na afya imeanza kutekelezwa.

Wanamitindo watahitajika kuwa na cheti cha daktari kuonyesha afya yao kwa misingi ya vipimo vya uzito wao na kimo.

Wizara ya afya inasema kuwa inataka kukabiliana na matatizo ya kutokula  na viwango visivyofikiwa vya urembo.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>