Published On: Mon, May 15th, 2017
Business | Post by jerome

WALALAMIKIA UJENZI WA BARABARA ARUSHA

Share This
Tags

Wafanya biashara wenye maduka  eneo la Sakina jijini Arusha wameeleza kuathiriwa kwa kiwango kikubwa kibiashara kufuatia ujenzi wa barabara unaoendelea kutoka Sakina-Tengeru ambao umefunga vivuko hivyo wateja walio wengi kushindwa kuyafikia maduka yao.

MARIAM ADAMU ni mfanya biashara wa chakula katika eneo hilo ambaye amepaza sauti yake kwa serikali juu ya kupanda kwa bei ya unga wa mahindi na mchele.

Kwa upande wake JACKSON ALAISY akaeleza adha wanayopata wateja kwa kukosekana kwa miundombinu rafiki kwa wanunuzi wa bidhaa zao.

Hali hiyo kwa ujumla wamesema, kunawasababishia kushindwa kulia kodi ya pango katika eneo la biashara.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>