Published On: Tue, May 9th, 2017

Nicki Minaj kuwalipia karo mashabiki wake Marekani

Share This
Tags

Mwanamuziki Nicki Minaj ameahidi kulipia karo baadhi ya mashabiki wake.

Hata hivyo amesema ni lazima wathibitishe kwamba walipata alama A katika mtihani wao wa kujiunga na vyuo.

Alikuwa akijibu maombi kutoka kwa mashabiki wake kwenye Twitter ambao walitaka awape pesa.

Badala yake akasema atasaidia wale waliopata alama A, baadhi walimtumia kwenye Twitter picha za matokeo yao ya mtihani na kumweleza matatizo ya kifedha yanayowakabili.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>