Published On: Thu, May 25th, 2017
Tech News | Post by jerome

NEW ZEALAND YARUSHA MARA YA KWANZA ROKETI YA MASAFA MAREFU KWENDA JUU

Share This
Tags

 

Kampuni moja ya Marekani imerusha roketi kwenda umbali wa masasa marefu angani kutoka nchini New Zealand ambayo ni ya kwanza kutoka kituo cha kibinafsi.

Roketi hiyo iliondoka kutoka rasi ya Mahia katika kisiwa kilicho Kaskazini.

Jaribio hilo ndilo la kwanza kuwahi kufanywa kutoka nchini New Zealand, linalotajwa kuwa hatua kubwa ya roketi kubeba satelaiti ndogo na mizigo mingine.

 

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>