Published On: Mon, May 8th, 2017
Sports | Post by jerome

MOURINHO: MASHABIKI WANA FURAHA, NINA FURAHA PIA

Share This
Tags

Chelsea’s coach Jose Mourinho waits for the kick off of their Champions League Group G soccer match against Sporting Lisbon at the Estadio Jose Alvade in Lisbon, September 30, 2014. REUTERS/Hugo Correia (PORTUGAL – Tags: SPORT SOCCER HEADSHOT)

Meneja wa Manchester United JOSE MOURINHO amesema ana furaha kwamba mashabiki wa Arsenal hatimaye walipata jambo la kusherehekea baada ya kufanikiwa kuichapa United 2-0 jana.

Ushindi huo wa Arsenal ulikuwa wa kwanza wa ARSENE WENGER katika mechi 16 za ushindani dhidi ya timu iliyokuwa chini ya Mourinho.

Akinukuliwa amesema, “hatimaye leo wanaweza kuimba, na kurusha skafu hewani. Ni jambo zuri kwao.”

“Mashabiki wa Arsenal wana furaha na nina furaha kwa sababu ya hilo.”

Mechi pekee ambayo Arsenal waliwahi kushinda dhidi ya Mourinho wakiwa na WENGER ilikuwa mwaka 2015 wakati wa mechi ya Ngao ya Jamii MOURINHO alipokuwa Chelsea.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>