Published On: Wed, May 17th, 2017

Maziwa ya mama kuponya saratani

Share This
Tags

Maziwa ya mama yamefanyiwa utafiti na kugundulika kuwa yanaweza kutumika kama dawa ya saratani.

Katika utafiti uliofanyika Sweden,maziwa ya mama yameonekana kuwa na¬†“Hamlet” ambayo ina uwezo wa kutibisha ugonjwa wa saratani.

Kwa mujibu wa habari,profesa wa chuo cha Lund nchini humo amesema kuwa kutokana na utafiti huo imeonekana kuwa mgonjwa wa saratani anapochomwa sindano ya Hamlet basi huonyesha nafuu kubwa.

Wanasayansi wanaamini utafiti huo umekuwa kama muujiza.

Posted By

-

Leave a comment

XHTML: You can use these html tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>